Tanapa yataka Watanzania kulinda hifadhi
.
Kutokana na hali hiyo, huenda wanyama hao wakaonekana zaidi kupitia picha za video na za mnato, na kutaka kila mwananchi kuwa mlinzi wa rasilimali hizo kwa kuwataja majangili wanaojihusisha na uwindaji harama wa wanyama hao.
Mkurugenzi Mkuu wa Tanapa, Allan Kijazi alisema hayo wakati akifungua warsha ya siku tatu ya waandishi wa habari mkoani Kilimanjaro, iliyoandaliwa na chama cha wanahabari mkoani hapa (Mecki) na kuratibiwa na hifadhi ya taifa ya mlima Kilimanjaro (KINAPA) na kufanyika mjini Moshi.
Akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi mkuu, Mkurugenzi wa uhifadhi wa Tanapa, Mtango Mtahiko, alisema Tanzania ni moja ya nchi zenye sifa ya uhifadhi wenye uoto wa asili jambo ambalo limekuwa likivuta idadi kubwa ya watalii kutoka nchi mbalimbali duniani.
No comments:
Post a Comment