Thursday, August 10, 2017

Je Unajua Nini Maana Ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke? Soma Hapa Mwanzo Mwisho

   18:00  0
Je Unajua nini Maana ya Shanga Kiunoni Mwa Mwanamke? Soma Hapa Mwanzo Mwisho

Kwa wale wanaopenda kuvaa shanga najuwa wengi mtakuwa mnafahamu rangi na maana zake lakini kwa wale wasiojuwa je ama wanaopenda kuvaa lakini wanajinunulia rangi yeyote na kwa wanaume wanaopenda wanawake zao wavae shanga ni kusisimuana tu je mnafahamu zinamaanisha nini haya sasa.. katika swala la mahaba shanga hutumika kusisimuana haswa pale utakapompata mwanaume anayejuwa kuzitumia vizuri na unaweza kuvaa hata kumi ukitaka kuna wengine wanananunua rangi...

No comments:

Post a Comment