BOMOABOMOA JANGWANI: Kinachoendelea baada ya wananchi kuondolewa
millardayo.com / Edwin Kamugisha TZA / 11 hours ago
Jana wananchi waliokuwa wakiishi kwenye Bonde la Jangwani Dar es salaam waliondolewa na jiji kutokana na kuishi eneo hilo kinyume cha utaratibu. Haikuwa rahisi kwa bomoabomoa kutekelezwa eneo hilo baada ya wananchi kupambana na jeshi la polisi kuzuia bomoabomoa ambayo ilikuwa ikiendeshwa na Jiji katika eneo hilo. Sasa leo AyoTV na millardayo.com zimefika eneo hilo […]
No comments:
Post a Comment